16 Julai
tarehe
(Elekezwa kutoka Julai 16)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Julai ni siku ya 197 ya mwaka (ya 198 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 168.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1194 - Mtakatifu Klara wa Asizi, bikira, mwanamke wa kwanza kumfuata Fransisko wa Asizi
- 1888 - Frits Zernike, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1953
- 1926 - Irwin Rose, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
- 1934 - George Hilton, mwigizaji wa filamu Mwingereza kutoka Uruguay
- 1959 - Bob Joles, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1324 - Go-Uda, mfalme mkuu wa Japani (1274-1287)
- 1846 - Mtakatifu Maria Magdalena Postel, bikira na mwanzilishi nchini Ufaransa
- 1916 - Ilya Mechnikov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908
- 1960 - John P. Marquand, mwandishi kutoka Marekani
- 1985 - Heinrich Boll, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1972
- 1994 - Julian Schwinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 2003 - Carol Shields, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Bikira Maria wa Mlima Karmeli, pia za watakatifu Antioko wa Anastasiopoli, Atenogene, Eleri, Monulfi, Gondulfi, Reinilde, Grimoaldi na Gondolfi, Sisenandi, Bartolomeu wa Braga, Andrea wa Soveral na wenzake, Maria Magdalena Postel, Lang Yangzhi, Paulo Lang Fu, Teresa Zhang Hezhi n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |