Kanisa la Wakaldayo
Kanisa Katoliki la Wakaldayo (kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ʿītha kaldetha qāthuliqetha) ni mojawapo kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki, likifuata mapokeo ya Mesopotamia na kutumia liturujia ya Mesopotamia[1].
Idadi ya waamini leo ni zaidi ya 600,000[2] [3], wengi wao wakiwa wenyeji wa Mesopotamia.
Historia
haririKanisa hilo linachanga historia moja na Kanisa la Asiria hasa hadi mwaka 1552, lilipotokea farakano kati yao, huku waliojiita Wakaldayo wakiungana na Kanisa Katoliki kama walivyotangulia kufanya wenzao kadhaa wa Cyprus mwaka 1445[4]
Muundo
haririKanisa hilo linaongozwa na Patriarki wa Baghdad, Iraki, kwa sasa Louis Raphaël I Sako (kwa Kisiria: ܠܘܝܣ ܪܘܦܐܝܠ ܩܕܡܝܐ ܣܟܘ) aliyezaliwa tarehe 4 Julai 1948 na anayeishi Baghdad.[5]
Chini yake kuna majimbo katika nchi hiyo (250,000 waamini), katika nchi nyingine za Mashariki ya Kati (Iran, Siria, Uturuki, Lebanon na Misri) na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya vita na dhuluma: Marekani, Kanada, Australia na New Zealand n.k.
Tanbihi
hariri- ↑ "TQ & A on the Reformed Chaldean Mass". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-02. Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ Ronald Roberson. "The Eastern Catholic Churches 2010" (PDF). Catholic Near East Welfare Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo Desemba 2010.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) Information sourced from Annuario Pontificio 2010 edition - ↑ "CNEWA - Chaldean Catholic Church". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-16. Iliwekwa mnamo 2012-10-16.
- ↑ Council of Florence, Bull of union with the Chaldeans and the Maronites of Cyprus Session 14, 7 Agosti 1445 [1]
- ↑ "AP". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-09. Iliwekwa mnamo 2012-10-16.
Viungo vya nje
hariri- Chaldean Catholic Church Mass Times Ilihifadhiwa 14 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- Chaldean Catholic Church Ilihifadhiwa 16 Machi 2010 kwenye Wayback Machine. - from the website of the Catholic Near East Welfare Association.
- Chaldean Catholic Diocese of Saint Peter Ilihifadhiwa 18 Machi 2013 kwenye Wayback Machine.
- Catholic Churches Ilihifadhiwa 15 Juni 2006 kwenye Wayback Machine. (In German)
- East Syrian Rite (Catholic Encyclopedia)
- History of the Chaldean Church Ilihifadhiwa 23 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Qambel Maran- Syriac chants from South India- a review and liturgical music tradition of Syriac Christians revisited
- St Pauls Chaldean Assyrian church Ilihifadhiwa 15 Juni 2013 kwenye Wayback Machine.
- [2] Ilihifadhiwa 8 Desemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- [3] Ilihifadhiwa 26 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine.
- [4] Ilihifadhiwa 25 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- [5]
- Hati Orientalium Ecclesiarum ya Mtaguso wa pili wa Vatikano
- Hati Orientales omnes Ecclesias ya Papa Pius XII
- [6] Ilihifadhiwa 5 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. - Hati ya Papa Yohane Paulo II Orientale Lumen kuhusu Makanisa ya Mashariki
- Codex Canonum Ecclesiarum Orientalium - Mkusanyo wa Sheria za Makanisa ya Mashariki (katika Kilatini pamoja na sehemu sambamba)
- Instruction for Applying the Liturgical Prescriptions of the Code of Canons of the Eastern Churches Ilihifadhiwa 25 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine. - Hati ya Idara ya Papa kwa Makanisa ya Mashariki kuhusu liturujia
- Ujuzi wa msingi kuhusu Makanisa hayo Ilihifadhiwa 17 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.
- CNEWA Idara ya Papa inayosaidia Makanisa hayo Ilihifadhiwa 9 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
- Sura ya Idara ya Papa kwa Makanisa hayo
- Takwimu za Makanisa hayo Ilihifadhiwa 27 Juni 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Wakaldayo kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |