12 Oktoba
tarehe
(Elekezwa kutoka Oktoba 12)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Oktoba ni siku ya 285 ya mwaka (ya 286 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 80.
Matukio
hariri- 539 KK - Koreshi Mkuu anateka Babuloni
- 1492 - Kristoforo Kolumbus anafika kwenye visiwa vya Karibi akiamini amefikia Uhindi
- 1968 - Nchi ya Guinea ya Ikweta inapata uhuru kutoka Hispania
Waliozaliwa
hariri- 1008 - Go-Ichijo, mfalme mkuu wa Japani (1016-1036)
- 1846 - Mtakatifu Arkanjelo Tadini, padri
- 1865 - Arthur Harden, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1929
- 1891 - Mtakatifu Edith Stein (Teresa Benedikta wa Msalaba), Myahudi mwanafalsafa kutoka Ujerumani, halafu mmonaki Mkarmeli na mfiadini
- 1896 - Eugenio Montale, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1975
- 1925 - Charles Gordone, mwandishi kutoka Marekani
- 1970 - Cody Cameron, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 638 - Papa Honorius I
- 642 - Papa Yohane IV
- 1576 - Kaisari Maximilian II wa Ujerumani
- 1604 - Mtakatifu Serafino wa Montegranaro, O.F.M.Cap., bradha nchini Italia
- 1924 - Anatole France, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1921
- 1965 - Paul Hermann Müller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1948
- 1982 - Howard Sackler, mwandishi kutoka Marekani
- 2006 - Wanjiru Kihoro, mwandishi kutoka Kenya
- 2013 - Oscar Hijuelos, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Edisti, Domnina wa Ainvarza, Felisi wa Abbir, Sipriani wa Unizibira na wenzao, Opili, Papa Felisi IV, Maksimiliani wa Lorch, Rodobaldo, Serafino wa Montegranaro n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |