1 Januari
tarehe
(Elekezwa kutoka 1. 1.)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Januari ni siku ya kwanza ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 364 (365 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1431 - Papa Alexander VI
- 1638 - Go-Sai, mfalme mkuu wa Japani (1654-1663)
- 1909 - Shaaban Robert, mshairi wa Kiswahili kutoka Tanzania
- 1911 - Audrey Wurdemann, mshairi kutoka Marekani
- 1941 - Martin Evans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2007
- 1941 - Evaristo Marc Chengula, askofu wa Jimbo Katoliki la Mbeya, Tanzania
- 1950 - Mudhihir Mohamed Mudhihir, mwanasiasa wa Tanzania
- 1953 - Alpha Blondy, mwanamuziki kutoka Cote d'Ivoire
- 1954 - Sigfrid Selemani Ng'itu, mwanasiasa wa Tanzania
- 1960 - Julius Nyaisangah, mtangazaji wa redio kutoka Tanzania
- 1962 - Richard Roxburgh, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
- 1992 - Jack Wilshere, mchezaji mpira kutoka Uingereza
Waliofariki
hariri- 379 - Mtakatifu Basil wa Caesarea, askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Uturuki
- 1954 - Leonard Bacon, mshairi kutoka Marekani
- 1995 - Eugene Wigner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 2008 - Lucas Sang, mwanariadha wa Kenya
Sikukuu
hariri- Katika nchi nyingi tarehe 1 Januari ni sikukuu ya Mwaka Mpya
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, siku hii ya nane baada ya Krismasi, kwa kukumbuka tohara ya Yesu aliyofanyiwa siku hiyo, huadhimisha sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu, lakini pia kumbukukumbu za watakatifu Justini wa Chieti, Almaki wa Roma, Eujendo wa Condat, Fuljensi wa Ruspe, Kyaro, Frodobati, Wiliamu wa Dijon, Odilo wa Cluny, Zdislava, Yosefu Maria Tomasi, Vinsenti Maria Strambi, Sigimundi Gorazdowski n.k.
- Pia ni siku ya kimataifa ya kuomba amani duniani
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |