Eurowings
Eurowings GmbH ni kampuni ya ndege inayotoa huduma kwa bei nafuu nchini Ujerumani, yenye makao makuu huko Düsseldorf na inayomilikiwa kikamilifu na kundi la Lufthansa.
Ilianzishwa mwaka 1996 ikiwa kampuni ya mtu binafsi na tangu 2011 ni mali ya Lufthansa. Hutumikia mtandao wa vikomo yva ndani ya Ulaya pamoja na vikomo vya mbali nje ya Ulaya. Vituo vikuu viko kwenye uwanja wa ndege wa Berlin Tegel, uwanja wa ndege wa Cologne Bonn, uwanja wa ndege wa Düsseldorf, uwanja wa ndege wa Hamburg, uwanja wa ndege wa Hannover, uwanja wa ndege wa Munich, uwanja wa ndege wa Nuremberg, uwanja wa ndege wa Palma de Mallorca, uwanja wa ndege wa Salzburg, uwanja wa ndege wa Stuttgart, na Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Vienna.
Vikomo vya safari
hariri[B] | Uwanja wa nyumbani |
[F] | Kikomo kijacho |
[S] | Kikomo cha muda |
[T] | Kikomo kisichohudumiwa tena |
Tanbihi
hariri- ↑ aero.de - "Eurowings cancels Dubai and ends Boston earlier" (German) 15 August 2016
- ↑ "Lufthansa's Eurowings ditches Cologne-Dubai route - Gulf Business". 22 Agosti 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Neue Strecken - Buchen - Eurowings".
- ↑ "Edinburgh regains German air route". 29 Oktoba 2015 – kutoka www.bbc.com.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ruane, Laura (7 Julai 2017). "RSW airport to gain nonstop flights to German cities of Munich, Cologne in May 2018". www.news-press.com. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2018, UBM (UK) Ltd.. "Eurowings adds Stuttgart – Lanzarote service from Nov 2018", Routesonline. (en-GB)
- ↑ https://www.flightglobal.com/news/articles/eurowings-replaces-lufthansa-on-dusseldorf-newark-ro-452176/
- ↑ http://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/269903/eurowings-adds-orlando-seattle-service-from-july-2017/
- ↑ https://www.aviation24.be/airlines/lufthansa-group/eurowings/lufthansa-group-expands-tourist-oriented-long-haul-portfolio-in-frankfurt-and-munich-with-eurowings/
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eurowings kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |