Mito ya Kenya ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:

  1. kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Hindi mashariki mwa nchi ama moja kwa moja ama kwa kuchangia Mto Jubba, mto Tana au mto Athi-Galana-Sabaki, lakini kuna pia mito inayochangia Bahari ya Kati kupitia mto Naili, huku mingine inaishia katika mabonde nchini kama la Ziwa Turkana)
  2. kadiri ya kaunti inapoanzia au inapopatikana.
  3. kadiri ya alfabeti.

Kadiri ya beseni

hariri
 
Mafuriko ya Mto Tana, 1998.
 
Nyumbu wakimaliza kuvuka Mto Mara.

Kwa mpangilio wa kaunti

hariri

Kwa utaratibu wa alfabeti

hariri

Baadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: