Emirates
Emirates ni ndege kuu katika bara la Arabu, iliyo chini ya kampuni ya The Emirates Group. Ni ndege ya kitaifa iliyo mjini Dubai, miliki za kiarabuUnited Arab Emirates na inahudumu takriban wasafiri 2200 kila wiki[1] kutoka kwa kituo chake cha Uwanja wa ndege wa kimataifa ya Dubai, Terminal 3 hadi nchi 55 na kwenye bara sita.[2] Emirates iko chini ya The Emirates Group, ambayo ina waajiriwa zaidi ya 40,000, na inayomilikiwa na serikali ya Dubai.
Ndege hii iko kwenye ndege kumi bora kulingana na mauzo, wasafiri na kilomita.[3]
Historia
haririNdege ya kwanza ya Emirates ilisafiri kutoka mji wa Dubai hadi Karachi mnamo 25 Oktoba 1985.[4]
Emirates ilianza kupata faida kuanzia baada ya miezi tisa. Mwaka wake wa kwanza, ilibeba wasafiri 260,000 na mizigi ya tani 10,000. Mnamo 1986, ndege hii iliongeza miji ya kusafiria kama Colombo, Dhaka, Amman, na Cairo miongoni mwa miji inayosafiria. Emirates ilianzisha ndege za kusafiri hadi London Gatwick kila siku mnamo 6 Julai 1987 kwa kutumia ndege mbili za Airbus A310. Pia, ilianzisha ndege za kuelekea mjini Singapore. Mnamo 1987, Ilianza kwenda Frankfurt kwa kupitia miji ya Istanbul, na Male.
Maendeleo
haririMauzo ya Emirates ziliongezeka kwa takriban milioni $100 kila mwaka, na kufikia milioni $500 mnamo 1993. Mwaka huu, ilibeba mizigo ya tani 68,000 na wasafiri milioni 1.6
Emirates ilipata mauzo ya milioni $643.4 katika mwaka wa 1994. Ilikuwa na wafanyikazi 4,000.
Terminal 3
haririTerminal 3 kwenye Uwanja wa ndege ya Dubai ilijengewa kwa matumizi ya Emirates pekee. Iligharimu bilioni $4.5 na ilifunguliwa rasmi mnamo 14 Oktoba 2008. Terminal hii inaweza kutosheleza masafiri milioni 27.
Waajiriwa
haririEmirates imeajiri jumla ya watu 28,037 hadi mwaka wa 31 Machi 2009.[5]
Mauzo na faida
haririYear Ended | Passengers Flown | Cargo carried (thousand) | Turnover (AEDm) | Expenditure (AEDm) | Net Profit/Loss (AEDm) |
---|---|---|---|---|---|
31 Machi 1997 | 3,114.3 | 159.4 | 1,198.7 | 1,097.1 | 101.623 |
31 Machi 1998 | 3,683.4 | 200.1 | 4,089.1 | 3,826.7 | 262.413 |
31 Machi 1999 | 4,252.7 | 214.2 | 4,442.9 | 4,130.2 | 312.959 |
31 Machi 2000 | 4,775.4 | 269.9 | 5,113.8 | 4,812.9 | 300.900 |
31 Machi 2001 | 5,718.8 | 335.2 | 6,417.3 | 5,970.7 | 421.825 |
31 Machi 2002 | 6,765.1 | 400.6 | 7,274.6 | 6,783.7 | 468.231 |
31 Machi 2003 | 8,502.8 | 525.2 | 9,709.7 | 8,749.6 | 906.747 |
31 Machi 2004 | 10,441.3 | 659.8 | 13,286.3 | 11,602.1 | 1,573.511 |
31 Machi 2005 | 12,528.7 | 838.4 | 18,130.9 | 15,628.3 | 2,407.385 |
31 Machi 2006 | 14,497.5 | 1 ,018.5 | 23,050.9 | 20,489.6 | 2,474.97 |
31 Machi 2007 | 17,544.1 | 1,155.9 | 29,839.6 | 26,675.9 | 3,096.4 |
31 Machi 2008 | 21,229.2 | 1,282.1 | 40,196.6 | 35,121.7 | 5,020.4 |
31 Machi 2009 | 22,730.9 | 1,408.3 | 44,188.9 | 43,143.4 | 981.7 |
Nembo
haririKuanzia 2004, nembo ya Emirates ni Fly Emirates. Keep Discovering. Zingine zilizowahi kutumika ni kama:
- The Finest in the Sky
- Be Good to yourself. Fly Emirates
- When was the last time you did something for the first time
- Fly Emirates. Meet Dubai.
- Fly Emirates. To over Six Continents.[7]
Miji inayosafiria
haririEmirates inahudumu ndege 1,883 kila wiki, katika miji 103 kwenye nchi 65 kwenye bara 6 kutoka kwa kituo chake mjini Dubai.
- Ethiopia
- Addis Ababa - Bole International Airport
- Kenya
- Nairobi - Jomo Kenyatta International Airport
- Mauritius
- Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport
- Seychelles
- Mahé - Seychelles International Airport
- Tanzania
- Dar es Salaam - Julius Nyerere International Airport
- Uganda
- Entebbe - Entebbe International Airport
- Egypt
- Cairo - Cairo International Airport
- Libya
- Tripoli - [Tripoli International Airport
- Morocco
- Casablanca - Mohammed V International Airport
- Sudan
- Khartoum - Khartoum International Airport
- Tunisia
- Tunis - Tunis-Carthage International Airport
- Angola
- Luanda - Quatro de Fevereiro Airport
- South Africa
- Cape Town - Cape Town International Airport
- Durban - Durban International Airport
- Johannesburg - OR Tambo International Airport
- Canada
- Toronto - Toronto Pearson International Airport
- United States
- Houston - George Bush Intercontinental Airport
- Los Angeles - Los Angeles International Airport
- New York City - John F. Kennedy International Airport
- San Francisco - San Francisco International Airport
- People's Republic of China
- Japan
- South Korea
- Seoul - Incheon International Airport
- Bangladesh
- Dhaka - Zia International Airport
- India
- Ahmedabad - Sardar Vallabhbhai Patel International Airport
- Bangalore - Bengaluru International Airport
- Chennai - Chennai International Airport
- Delhi - Indira Gandhi International Airport
- Hyderabad - Rajiv Gandhi International Airport
- Kochi - Cochin International Airport
- Kolkata - Netaji Subhash Chandra Bose International Airport
- Kozhikode - Calicut International Airport
- Mumbai - Chhatrapati Shivaji International Airport
- Thiruvananthapuram - Trivandrum International Airport
- Maldives
- Malé - Malé International Airport
- Pakistan
- Sri Lanka
- Colombo - Bandaranaike International Airport
- Indonesia
- Jakarta - Soekarno-Hatta International Airport
- Malaysia
- Kuala Lumpur - Kuala Lumpur International Airport
- Philippines
- Manila - Ninoy Aquino International Airport
- Singapore
- [[Singapore Changi Airport
- Thailand
- Bangkok - Suvarnabhumi Airport
- Bahrain
- Bahrain International Airport
- Kupro
- Larnaca - Larnaca Airport
- Iran
- Tehran - Tehran Imam Khomeini International Airport
- Jordan
- Amman - Queen Alia International Airport
- Kuwait
- Kuwait International Airport
- Lebanon
- Beirut - Beirut Rafic Hariri International Airport
- Oman
- Muskat - Muscat International Airport
- Qatar
- Doha - Doha International Airport
- Saudi Arabia
- Syria
- Damascus - Damascus International Airport
- United Arab Emirates
- Dubai - Dubai International Airport Hub
- Yemen
- Sana'a - Sana'a International Airport
- Austria
- Vienna - Vienna International Airport
- Czech Republic
- Ufaransa
- Ujerumani
- Düsseldorf - Düsseldorf Airport
- Frankfurt - Frankfurt Airport
- Hamburg - Hamburg Airport
- Munich - Munich Airport
- Greece
- Athens - Athens International Airport
- Italia
- Malta
- Luqa - Malta International Airport
- Russia
- Moscow - Domodedovo International Airport
- Netherlands
- Spain
- Switzerland
- Zürich - Zürich Airport
- Uturuki
- Istanbul - Atatürk International Airport
- Ufalme wa Muungano
- Birmingham - Birmingham International Airport
- Glasgow - Glasgow International Airport
- London
- London Gatwick Airport
- London Heathrow Airport
- Manchester - Manchester Airport
- Newcastle upon Tyne - Newcastle Airport
- Australia
- New Zealand
- Auckland - Auckland Airport
- Christchurch - Christchurch International Airport
Mapumziko
haririNdege hii ina vyumba vya mapumziko kwenye uwanja wa ndege katika miji ifuatayo:
Marejeo
hariri- ↑ "Emirates to Launch Second Phase Operations at Dubai Airport Terminal-3 - Business News". redOrbit. Iliwekwa mnamo 2009-07-15.
- ↑ Emirates Announces 2009 Expansion Plan
- ↑ "Gulfnews: Emirates is now seventh biggest airline". Archive.gulfnews.com. 2007-11-10. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-22. Iliwekwa mnamo 2009-07-15.
- ↑ "Emirates - Company Profile on LinkedIn". Linkedin.com. 2009-07-02. Iliwekwa mnamo 2009-07-15.
- ↑ "Mohammed Bin Rashid inspects Emirates Group's headquarters". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
- ↑ "Annual Reports | The Emirates Group". Ekgroup.com. 2009-07-09. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-16. Iliwekwa mnamo 2009-07-15.
- ↑ "About Emirates | Emirates Advertising". Emirates. 2008-06-03. Iliwekwa mnamo 2009-07-15.
- ↑ http://www.emirates.com/us/english/about/news/news_detail.aspx?article=523917&offset=0
- ↑ http://www.emirates.com/us/english/about/news/news_detail.aspx?article=530937&offset=0
- ↑ http://www.emirates.com/us/english/about/news/news_detail.aspx?article=526496&offset=0
- ↑ http://www.emirates.com/us/english/about/news/news_detail.aspx?article=534704&offset=0
- ↑ Emirates has two lounges at Brisbane Airport, separate for First and Business Class passengers (only first class Emirates lounge outside of Dubai).
- ↑ Emirates has three lounges at Dubai Airport, separate for First and Business Class passengers and one in Terminal 1 for transit passengers.