Kupro
Kupro (pia: Kipro, Kuprosi, na hata Saiprasi kutoka Kiingereza Cyprus) ni nchi ya kisiwani upande wa mashariki wa bahari ya Mediteranea.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: none | |||||
Wimbo wa taifa: Ύμνος εις την Ελευθερίαν imnos is tin eleftherian Utenzi wa uhuru1 | |||||
Mji mkuu | Nikosia | ||||
Mji mkubwa nchini | Nikosia | ||||
Lugha rasmi | Kigiriki, Kituruki | ||||
Serikali | Jamhuri Nicos Christodoulides | ||||
Uhuru Tarehe |
16 Agosti 1960 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
9,251 km² (ya 162) 9 | ||||
Idadi ya watu - 2021 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
1,244,188 (ya 158) 838,897 123.4/km² (ya 82) | ||||
Fedha | Cyprus Pound (CYP )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .cy3 | ||||
Kodi ya simu | +357
- | ||||
1 Sawa na wimbo la taifa la Ugiriki |
Kijiografia ni sehemu ya Asia, lakini kiutamaduni na kisiasa ni sehemu ya Ulaya.
Historia
haririKisiwa cha shaba
haririWatu waliishi huko walau kuanzia milenia ya 10 KK.
Zamani za Kale kisiwa kilikuwa chanzo cha shaba nyingi iliyopatikana katika eneo la Mediteranea ya mashariki. Jina la kikemia la shaba "kupri" linatokana na jina la kisiwa hicho.
Katika Biblia
haririKisiwa kinazungumziwa na Biblia ya Kikristo, kwa namna ya pekee kuhusiana na umisionari wa Mtume Barnaba na wenzie Mtume Paulo na Marko Mwinjili kisiwani huko.
Kuanzia mwaka 649 Kupro ilishambuliwa na pengine kutawaliwa na Waarabu walioua wakazi wengi na kubomoa makanisa na miji mizima.
Chini ya Waosmani
haririBaada ya Wakristo kujirudishia kisiwa hicho muhimu, Waturuki Waosmani walikiteka mwaka 1570 na kuingiza Uislamu bila kufaulu kufuta dini ya awali.
Chini ya Waingereza
haririMwaka 1878 Uingereza ulianza kutawala Kupro bila kuitenga rasmi na Dola la Waosmani hadi mwaka 1914.
Uhuru
haririTarehe 16 Agosti 1960 Kupro ilijipatia uhuru ingawa kulikuwa na utata kati ya kubaki peke yake, kuungana na Ugiriki au kugawiwa kati ya kaskazini (Waturuki) na kusini (Wagiriki).
Baada ya uhuru
haririTangu vita vya Kupro, 1974 kisiwa kimegawiwa, huku maeneo ya kaskazini yakiwa yanatawaliwa na Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini isiyotambulika kimataifa.
Pamoja na hayo, Kupro imefaulu kujiunga na Umoja wa Ulaya tarehe 1 Mei 2004.
Watu
haririWakazi walio wengi hutumia lugha ya Kigiriki, wengine Kituruki, ambazo zote mbili ni lugha rasmi.
Kwa jumla hao wa kwanza ni Wakristo (72.3% za wakazi wote), wa pili ni Waislamu (25%).
Wakristo karibu wote ni Waorthodoksi; wengine ni Wakatoliki (2.9%, hasa Wamaroni), Waprotestanti (2%) na Waarmenia.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Timeline of Cyprus by BBC
- Cyprus Archived 27 Julai 2008 at the Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
- Cyprus information from the United States Department of State includes Background Notes, Country Study and major reports
- Kupro katika Open Directory Project
- Cyprus profile from the BBC News
- The UN in Cyprus
- Cypriot Pottery, Bryn Mawr College Art and Artifact Collections
- The Cesnola collection of Cypriot art : stone sculpture, a fully digitised text from The Metropolitan Museum of Art libraries
- Government
- Cyprus High Commission Trade Centre – London
- Cypriot Diaspora Project Archived 13 Januari 2009 at the Wayback Machine.
- Republic of Cyprus – English Language Archived 6 Januari 2010 at the Wayback Machine.
- Constitution of the Republic of Cyprus
- Press and Information Office Archived 14 Julai 2019 at the Wayback Machine.
- Chief of State and Cabinet Members Archived 17 Septemba 2013 at the Wayback Machine.
- Cyprus Elections to European Parliament Archived 27 Mei 2009 at the Wayback Machine.
- Tourism
- Read about Cyprus on visitcyprus.com Archived 28 Juni 2010 at the Wayback Machine. – the official travel portal for Cyprus
- AroundCyprus.net – Interactive virtual guide featuring attractions and activities on the island Archived 25 Novemba 2015 at the Wayback Machine.
- Cyprus informational portal and open platform for contribution of Cyprus-related content – www.Cyprus.com
- Official publications
- The British government's Foreign Affairs Committee report on Cyprus.
- Letter by the President of the Republic, Mr Tassos Papadopoulos, to the UN Secretary-General, Mr Kofi Annan, dated 7 June, which circulated as an official document of the UN Security Council Archived 28 Septemba 2008 at the Wayback Machine.
- Legal Issues arising from certain population transfers and displacements on the territory of the Republic of Cyprus in the period since 20 July 1974 Archived 28 Septemba 2008 at the Wayback Machine.
- Address to Cypriots by President Papadopoulos (FULL TEXT)
- The Republic of Cyprus Press and Information Office, Aspects of the Cyprus Problem Archived 20 Mei 2019 at the Wayback Machine.
- European Court of Human Rights Case of Cyprus v. Turkey (Application no. 25781/94) Archived 27 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
- This article incorporates public domain material from websites or documents of the Library of Congress Country Studies.
- This article incorporates public domain material from websites or documents of the CIA World Factbook.
- Official Cyprus Government Web Site Archived 6 Januari 2010 at the Wayback Machine.
- Embassy of Greece, USA – Cyprus: Geographical and Historical Background Archived 17 Desemba 2004 at the Wayback Machine.
Nchi za Umoja wa Ulaya | |
---|---|
Austria | Bulgaria | Eire | Estonia | Hispania | Hungaria | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituanya | Luxemburg | Malta | Polandi | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Udeni | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kupro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kupro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |