Stevejairo
Imejiunga 21 Novemba 2009
Lugha |
---|
Naam, kwa majina najulikana kama Stephen Jairo, mzaliwa nchini
sehemu za Mashariki mwa nchi. Nina miaka kadhaa ambazo mungu amaniwezesha kuishi humu duniani na kwa hayo basi nazidi kumshukuru usiku kucha na mchana kutwa. Ni mtoto wa kiume wa kwanza katika familia ya watoto wasita na wa pili.
Angali niko masomoni katika Kigezo:Chuo Kikuu cha Nairobi iliyoko humu nchini, nikijitahidi ili nihitimu katika masomo ya Biashara ambayo naifanya kwa mwaka wa nne sasa. Hapo awali nilifanikiwa kupata shahada la Diploma Kutoka Chuo Kikuu ya Sayansi na Technologia wa Kigezo:Jomo Kenyatta, Juja, Nairobi.