Wikipedia:WikiProject Wiki Loves Women/Wanawake katika Michezo
Tuboreshe uwakilishi wa Wanawake Wanamichezo wa kiafrika katika miradi ya Wikimedia !
haririKuanzia tar 01- tar 15 Juni Wiki Loves Women inataka kusherehekea kwaajili ya wanawake wote wanamichezo wa kiafrika kwa kupitia Wikipedia za lugha mbalimbali (Kiingereza, Kifaransa na Kiswahili), WikiData na Wikimedia Commons.
Kupitia ukurasa huu unaweza kupakia picha, kutafsiri makala zilizopo tayari, kuongeza taarifa katika Wikidata au unaweza kutengeneza makala mpya kuhusu wanawake wanamichezo wa kiafrika kulingana na unavyopendelea mwenyewe.
Hapa chini kuna orodha ya Wanawake wanamichezo wa kiafrika ambao tayari kwa namna moja au nyingine wanapatikana katika moja ya miradi ya Wikimedia.
Sherehekea mchezo unaoupenda pamoja na wachezaji wachezao mchezo huo!
Ukurasa wa Wanawake wanamichezo wa kiafrika maana yake nini hasa ?
hariri'Saidia kuboresha makala za wanawake wanamichezo wakiafrika
Hapa cini...utaona orodha ya wanawake wote wanaoishi katika bara la Afrika ambao wamerekodiwa katika mradi wa Wikidata kama wanawake wanamichezo wakiafrika.
Orodha inakuonesha:
- Nchi gani wanaishi,
- Aina ya mchezo wanayocheza vizuri zaidi,
- Makala gani kwaajili yao zinapatikana kwa kiingereza, kifaransa, kireno
- Iwapo kuna picha zao.
Tafadhali zingatia: Wanawake walioorodheshwa katika jedwali ndio waliopo kwa sasa katika Wikidata.Iwapo kuna wengine ambao hawapo hapa, fahamu kuwa wanatakiwa wawepo!
Namna ya Kushiriki
haririKuna njia mbalimbali za kushiriki katika kusherehekea mafanikio ya wanawake wanamichezo wakiafrika. Njia nyingine ni rahisi sana (unaweza kuongeza taarifa za hao wanawake/mwanamke katika Wikidata,au ukapakia picha ya mwanamke mwanamichezo kama hana picha bado katika Wikidata), au unaweza ukatenga mda wako kuandika makala ya mwanamke fulani mwanamichezo unayependelea kumwandika.Kwahiyo unaweza mwenyewe ukachagua ni kwa namna gani unataka kusherehekea mafanikio haya ya wanawake wanamichezo wakiafrika.Mfano unaweza ukafanya kitu kimojawapo leo na kingine kesho au siku nyingine upatapo muda mfano mwisho wa wiki, kumbuka hata ukihariri kidogo ni mchango mkubwa.!
Hatua za kufuata :-
Hakikisha umeingia katika akaunti yako ya Wikipedia.Kama hujajisajili/huna akaunti bado tembelea kiungo kifuatacho kujisajili Unaweza jisajili hapa:
2. Ongeza jina lako kama moja ya washiriki hapa!
- Ongeza jina lako kwa kuandika alama zifuatazo ~~~~
3.Liangalie jedwali. Angalia taarifa zinazohusiana na nchi yako au aina ya mchezo unaoupenda zaidi.
4. Angalia kama kuna taarifa zinazokosekana (kwamfano, Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ghana)?Kama ndiyo, ongeza taarifa zinazokosekana katika Wikidata au ongeza wanawake wanaokosekana ;akini walitakiwa wawepo.
- Iwapo kuna wanawake wanamichezo wanakosekana na ungependa kuwaongeza wawepo katika Wikidata ,basi waongeze hapa Ongeza kitu kpya hapa.
5. Boresha au tafsiri makala zilizopo
- Angalia makala zlizopo alafu uone kama kuna maboresho yanahitajika kufanyika (mfano tazama uwepo wa marejeo, au uwepo wa taarifa za kisasa zaidi). Au pengine angalia kama kuna makala kama hiyo ila kwa lugha tofauti, hii itakusaidia kuona kama kuna taarifa zaidi katika hiyo lugha nyingine na kutumia taarifa zake katika makala unayoinadika. Kama hutapenda kufanya hata moja ya yaliyosemwa hapo, basi jisikie huru kuanzisha makala mpya kabisa katika lugha unayoifahamu.
7. Pakia picha za wanawake wanamichezo ambao bado picha zao zinakosekana
- Tumia upload wizard kupakia picha t katika Wikimedia Commons ili kuongeza/ Kupakia picha katika miradi ya Wikimedia. Kumbuka kuandika jina la huyo mwanamichezo mwanamke unayepakia picha yake ili kurahisisha upatikanaji wa picha yake wakati wa matumizi.
8. Husianisha picha za wanawake wanamichezo na namba zake Wikidata
- Bado kuna picha nyingi katika Wikimedia Commons ambazo hazijahusianishwa na namba zake za Wikidata. Unaweza kuona baadhi ya picha zinazohitaji maelezo zaidi hapa:
- Baadhi ya picha kutoka Wiki Loves Africa 2019 ambazo zinahusiana na michezo kutoka nchi mbalimbali.
- Jamii yenye picha za wanawake wanamichezo kutoka nchi mbalimbali na inaweza kuwa na picha zinzohitaji kuhusianishwa na namba zake za Wikidata. Ili kufanya hivyo, bonyeza kiuongo/link iliyopo kwenye picha.Ukishafika katika ukurasa wenye hiyo picha, tazama chini ya picha yenyewe, bonyeza sehemu ya Structured Data (ni mbele ya sehemu ya faili la picha ). Ingiza jina la mtu mwenye hiyo picha (hata kama jina lake lilishaandikwa katika hiyo picha, inatakiwa jina lake liandikwe tena katika Wikidata.
Ninashiriki !!
hariri- Isla Haddow (talk) 15:19, 28 May 2019 (UTC)
- Anthere (talk)
- Alice Kibombo (talk)
- Antoni Mtavangu Jadnapac (majadiliano) 15:08, 7 Juni 2019 (UTC)
Orodha ya wanawake wanamichezo katika WikiData
haririAngalia maulizo (query) hapa: https://w.wiki/4Pq
(shukrani za kipekee kwa Spinster kwa mchango mkubwa katika kutengeneza maulizo (query))
This list is automatically generated from data in Wikidata and is periodically updated by Listeriabot.
Edits made within the list area will be removed on the next update!
Algeria
hariri
Angola
hariri
Australia
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q5367725 | Elspeth Denning | Australia South Africa |
|||
Q6812658 | Melissa Carlton | Australia South Africa |
swimming | Melissa Carlton |
Bahrain
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q3314599 | Mimi Belete | Bahrain Ethiopia |
athletics | ||
Q7695237 | Tejitu Daba | Bahrain Ethiopia |
athletics | ||
Q16209255 | Ruth Jebet | Bahrain Kenya |
athletics | Ruth Jebet | |
Q16855061 | Oluwakemi Adekoya | Bahrain Nigeria |
athletics | Oluwakemi Adekoya |
Belgium
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q1656036 | Ibtissam Bouharat | Belgium Morocco |
association football | ||
Q2939896 | Carole Karemera | Belgium Rwanda |
|||
Q20747945 | Mounia Aboulahcen | Belgium Morocco |
athletics | ||
Q27949164 | Ferahiwat Gamachu Tulu | Belgium Ethiopia |
athletics |
Benin
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q328631 | Odile Ahouanwanou | Benin | athletics | Odile Ahouanwanou | |
Q2787337 | Fabienne Feraez | Benin | athletics | ||
Q4349619 | Gloria Koussihouede | Benin | swimming | ||
Q9251328 | Edwige Bancole | Benin | athletics | ||
Q9339615 | Sonya Agbessi | Benin | athletics | ||
Q17612528 | Laure Kuetey | Benin | athletics | ||
Q20899202 | Noélie Yarigo | Benin | athletics | Noélie Yarigo | |
Q26251727 | Félicite Bada | Benin | athletics | ||
Q26605685 | Laraïba Seibou | Benin | swimming | Laraïba Seibou | |
Q54294543 | Pascaline Adanhouegbe | Benin | athletics |
Botswana
hariri
Burkina Faso
hariri
Burundi
hariri
Cameroon
hariri
Cape Verde
hariri
Central African Republic
hariri
Chad
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q2370633 | Carine Ngarlemdana | Chad | judo | ||
Q3048179 | Hinikissia Albertine Ndikert | Chad | athletics | ||
Q3140830 | Horta Sivly Aliba | Chad | handball | ||
Q9150043 | Amina Mahamat | Chad | athletics | ||
Q9285647 | Kaltouma Nadjina | Chad | athletics | ||
Q21964709 | Rosalie Gangué | Chad | athletics | ||
Q26459671 | Bibiro Ali Taher | Chad | athletics | Bibiro Ali Taher | |
Q63348330 | Demos Memneloum | Chad |
Comoros
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q369779 | Feta Ahamada | Comoros | athletics | ||
Q4353026 | Salhate Djamalidine | Comoros | |||
Q4831601 | Ayouba Ali Sihame | Comoros | swimming | ||
Q16240075 | Nazlati Mohamed Andhumdine | Comoros | swimming | ||
Q19871166 | Sandjema Batouli | Comoros | athletics | ||
Q19880165 | Ahamada Haoulata | Comoros | athletics |
Democratic Republic of the Congo
hariri
Djibouti
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q118657 | Zourah Ali | Djibouti | athletics | ||
Q2370576 | Sally Raguib | Djibouti | judo | ||
Q3379584 | Fathia Ali Bourrale | Djibouti | athletics | ||
Q8049829 | Yasmin Farah | Djibouti | table tennis | ||
Q16596853 | Roda Ali Wais | Djibouti | athletics | ||
Q33510409 | Aïcha Garad Ali | Djibouti |
Egypt
haririEquatorial Guinea
hariri
Eritrea
hariri
Eswatini
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q196281 | Temalangeni Dlamini | Eswatini | athletics | ||
Q7188346 | Phumlile Ndzinisa | Eswatini | athletics | ||
Q7245613 | Priscilla Mamba | Eswatini | athletics | ||
Q7450494 | Senele Dlamini | Eswatini | swimming | ||
Q16206301 | Lisa de la Motte | Eswatini | swimming | ||
Q16211333 | Gcinile Moyane | Eswatini | athletics | ||
Q50347821 | Sanele Ginindza | Eswatini | taekwondo | ||
Q50347835 | Sithandile Dlamini | Eswatini | taekwondo | ||
Q55979419 | Erika Nonhlanhla Seyama | Eswatini | athletics |
Ethiopia
hariri
France
hariri
Gabon
hariri
Gambia
hariri
Germany
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q65678 | Florence Ekpo-Umoh | Germany Nigeria |
athletics | ||
Q1711011 | Judith Augoustides | Germany South Africa |
beach volleyball | ||
Q1806666 | Sarah Chahed | Germany Tunisia |
swimming | ||
Q1963277 | Nadia Chahed | Germany Tunisia |
swimming | ||
Q2211502 | Safi Nyembo | Germany Democratic Republic of the Congo |
association football | ||
Q33184084 | Melat Yisak Kejeta | Germany Ethiopia |
athletics | Melat Yisak Kejeta |
Ghana
hariri
Guinea
hariri
Guinea-Bissau
hariri
Italy
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q2275579 | Zahra Bani | Italy Somalia |
athletics javelin throw |
||
Q15712846 | Alessia Dipol | Italy Togo India |
alpine skiing | ||
Q51382833 | Sara Tounesi | Italy Morocco |
rugby union | ||
Q52834869 | Awa Coulibaly | Italy Mali |
rugby union | Awa Coulibaly |
Ivory Coast
hariri
Kenya
hariri
Lesotho
hariri
Liberia
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q2742941 | Raasin McIntosh | Liberia | athletics | ||
Q5590917 | Grace-Ann Dinkins | Liberia | athletics | ||
Q6434421 | Kou Luogon | Liberia | athletics | ||
Q7186600 | Phobay Kutu-Akoi | Liberia | athletics | ||
Q16208991 | Kia Davis | Liberia | athletics | ||
Q32144749 | Melvina Vulah | Liberia | athletics | ||
Q33133973 | Gladys Thompson | Liberia | athletics | ||
Q42225241 | Hannah Cooper | Liberia | athletics |
Libya
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q281148 | Asmahan Farhat | Libya United States of America |
swimming | ||
Q5555148 | Ghada Ali | Libya | athletics | ||
Q5640967 | Hala Gezah | Libya | athletics | ||
Q16158827 | Ruwajda al-Hubti | Libya | athletics | ||
Q16208817 | Amira Edrahi | Libya | swimming | ||
Q26923789 | Ghazalah Alaqouri | Libya | |||
Q28810280 | Nadia Fezzani | Libya | swimming | ||
Q28815186 | Soad Fezzani | Libya | swimming | ||
Q50376450 | هالة جيزة | Libya | athletics | ||
Q54805526 | Hawa Mohamed | Libya | taekwondo | ||
Q54805531 | Hawa Dosh | Libya | taekwondo | ||
Q54805536 | Nesren Mohamed | Libya | taekwondo |
Madagascar
hariri
Malawi
hariri
Mali
hariri
Mauritania
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q3377274 | Bounkou Camara | Mauritania | athletics | ||
Q4696547 | Aicha Fall | Mauritania | athletics | ||
Q5693732 | Heather Arseth | Mauritania | swimming | ||
Q13217600 | Fatou Dieng | Mauritania | athletics | ||
Q20744470 | Aminata Kamissoko | Mauritania | athletics | ||
Q26790018 | Houleye Ba | Mauritania | athletics |
Mauritius
hariri
Morocco
hariri
Mozambique
hariri
Namibia
hariri
Niger
hariri
Nigeria
hariri
Republic of the Congo
hariri
Rhodesia
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q27505506 | Dottie Sutcliffe | Rhodesia | swimming | ||
Q27505512 | Hillary Wilson | Rhodesia | swimming | ||
Q27517115 | Lynette Cooper | Rhodesia | swimming | ||
Q27517135 | Meg Miners | Rhodesia | swimming |
Rwanda
hariri
Senegal
hariri
Seychelles
hariri
Sierra Leone
hariri
Somalia
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q290451 | Samia Yusuf Omar | Somalia | athletics | ||
Q2211509 | Safia Abukar Hussein | Somalia | athletics | ||
Q3615675 | Zamzam Mohamed Farah | Somalia | athletics | ||
Q4357126 | Fartun Abukar Omar | Somalia | athletics | ||
Q26459667 | Maryan Nuh Muse | Somalia | athletics |
South Africa
hariri
South Sudan
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q26220592 | Rose Lokonyen | South Sudan | athletics | Rose Lokonyen | |
Q26270593 | Margret Hassan | South Sudan | athletics | Margret Hassan |
Spain
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q581248 | Nely Carla Alberto | Spain Cape Verde |
handball | Nely Carla Alberto | |
Q3072974 | Josephine Onyia | Spain Nigeria |
athletics | ||
Q16889197 | Astou Ndour | Spain Senegal |
basketball | Astou Ndour | |
Q24956498 | Juliet Itoya | Spain Nigeria |
athletics |
Sudan
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q436306 | Nawal El Jack | Sudan | athletics | ||
Q1952651 | Muna Jabir Adam | Sudan | athletics | Muna Jabir Adam | |
Q3808814 | Amina Bakhit | Sudan | athletics | ||
Q6826863 | Mhasin Fadlalla | Sudan | swimming | ||
Q6935559 | Muna Durka | Sudan | athletics | ||
Q35547799 | Awmima Mohamed | Sudan | athletics |
São Tomé and Príncipe
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q2803286 | Fumilay Fonseca | São Tomé and Príncipe | athletics | ||
Q5058398 | Celma Bonfim da Graça | São Tomé and Príncipe | athletics | ||
Q19867806 | Sortelina Pires | São Tomé and Príncipe | athletics | ||
Q57337288 | Sara Neto | São Tomé and Príncipe | taekwondo |
Tanzania
hariri
Togo
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q522643 | Florence Ezeh | Togo France |
athletics | ||
Q2836867 | Alifatou Djibril | Togo | athletics | ||
Q3817197 | Adzo Kpossi | Togo | swimming | ||
Q4853276 | Bamab Napo | Togo | athletics | ||
Q15732788 | Mathilde-Amivi Petitjean | Togo | cross-country skiing | ||
Q26252407 | Claire Akossiwa | Togo | rowing | ||
Q26267511 | Prenam Pesse | Togo | athletics | ||
Q42304492 | Direma Banasso | Togo |
Tunisia
hariri
Uganda
hariri
United Kingdom
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q231041 | Layla El | United Kingdom Morocco |
wrestling | Layla El | |
Q1713271 | June Wheating | United Kingdom South Africa |
badminton | ||
Q1819350 | Leoni Kingsbury | United Kingdom South Africa |
badminton | ||
Q27288815 | Meagan Heale | United Kingdom South Africa |
badminton |
United States of America
hariri
Zaire
haririitem | label | country of citizenship | image | sport | Commons category |
---|---|---|---|---|---|
Q61943080 | Mwabilayi Ntumba | Zaire Democratic Republic of the Congo |
basketball | ||
Q61943194 | Iyoko Lingenga | Zaire Democratic Republic of the Congo |
basketball | ||
Q61943208 | Lomboto Bofonda | Zaire Democratic Republic of the Congo |
basketball |
Zambia
hariri
Zimbabwe
hariri