Alama za kimataifa za magari

Alama za kimataifa za magari ni herufi zinazoonyesha ni nchi gani gari fulani inapotoka.

Alama za barabarani mjini Kigali

Utaratibu huu ulianzishwa kwa mapatano ya kimataifa kuhusu usafiri kwa magari wa 1926. Ukasahihishwa mara ya mwisho katika mapatano ya kimataifa ya Vienna kuhusu usafiri wa barabarani wa 1968.

Orodha lifuatalo hufuata ufuatano wa alama hizi ambao si sawa na ufuatano wa majina ya nchi. Kwa mfano alama za nchi za Kenya, Tanzania na Uganda hazipatikana chini ya herufi K, T au U kwa sababu zote zaanza kwa "EA" kwa "East Africa". Kwa hiyo njia rahisi ya kupata nchi maalumu ni kutumia nafasi ya kutafuta ya kisakuzi wavuti (browser) kupitia "edit - find in this page".

Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
A Austria 1910
AFG Afghanistan 1971
AG Antigua na Barbuda
AL Albania 1934
AND Andorra 1957
ANG Angola 1975 PAN: 1932-1957, P: 1957-1975
ARK* Antaktika
ARM Armenia 1992 SU
ARU* Aruba NA
AUS Australia 1954
AX Visiwa vya Aland 2002 SF
AXA Anguilla
AZ Azerbaijan 1992 SU
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
B Ubelgiji 1910
RB Benin 1991 RPB hadi 1991: République Populaire du Bénin
BD Bangladesh 1978 PAK
BDS Barbados 1956
BF Burkina Faso 1984 RHV / HV hadi Agosti 2003, 1984: (République(de))Haute Volta (Upper Volta)
BG Bulgaria 1910
BHT Bhutan
BIH Bosnia-Herzegovina 1992 YU Bosna i Hercegovina (Bosn.)
BOL Bolivia 1967
BR Brazil 1930
BRN Bahrain 1954
BRU Brunei 1956
BS Bahamas 1950
BU Burundi 1962 RU hadi 1962: sehemu ya koloni ya Ubelgiji ya Ruanda-Urundi
BY Belarus 1992 SU Беларусь (zamani Byelorussia)
BW Botswana 1967 Republic of Botswana
BZ Belize 1938-1980s BH hadi 1973 British Honduras
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
C Kuba (Cuba) 1930
CAM Kamerun (Cameroon) 1952 F & WAN
CGO Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Congo) 1997 CB,RCL,CGO,ZR,ZRE Belgian Congo, Rép.de Congo (Léopoldville, Congo(Kinshasa),Zaire
CDN Kanada (Canada) 1956 CA
CH Uswisi 1911 Confœderatio Helvetica (Kilatini)
CI Côte d'Ivoire (Ivory Coast) 1961 F
CL Sri Lanka 1961 zamani Ceylon
CO Colombia 1952
COM Komori F
CR Costa Rica 1956
CV Cape Verde 1975 P
CY Kupro 1932
CZ Uceki 1993 CS Czechia
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
D Ujerumani 1910 Deutschland (Kijerumani)
DJI Djibouti F
DK Denmark 1914
DOM Jamhuri ya Dominika 1952
DY Benin 1910 Sehemu ya AOF (Afrique Occidentale Francais)-1960 zamani Dahomey-1976
DZ Algeria 1962 F-1911 Al Djazaïr (Arab.)
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
E Hispania 1910 España (Span.)
EAK Kenya 1938 East Africa Kenya
EAT Tanzania 1938 East Africa Tanzania
EAU Uganda 1938 East Africa Uganda
EC Ecuador 1962
ER Eritrea 1993 AOI -1941 Africa Orientale Italiana (It.)
ES El Salvador 1978
EST Estonia 1993 EW 1919-40 & 1991-93, SU 1940-91 1940-91 sehemu ya Umoja wa Kisovyeti
ET Egypt 1927
ETH Ethiopia 1964 AOI -1941 Africa Orientale Italiana (It.)
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
F Ufaransa 1910
FIN Ufini 1993 SF SF yatokana na "Suomi – Finland" (Kifini-Kiswidi)
FJI Fiji 1971
FL Liechtenstein 1923 Fürstentum Liechtenstein (Kijerumani)
FO Visiwa vya Faroe 1996 FR wakati mwingine pia FØ or Fø
FSM Shirikisho la Mikronesia
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
G Gabon 1974 ALEF - 1960 Afrique Equatorial Francais
GB Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini (Uingereza) 1910
GBA Alderney 1924 Great Britain - Alderney
GBG Guernsey 1924 Great Britain - Guernsey
GBJ Jersey 1924 Great Britain - Jersey
GBM Isle of Man 1932 Great Britain - Man
GBZ Gibraltar 1924 Great Britain - Gibraltar [Z imetumiwa kwa sababu G inataja Guernsey]
GCA Guatemala 1956 Guatemala Central America
GE Georgia 1992 SU Umoja wa Kisovyeti
GH Ghana 1959 WAC-1957 West Africa Gold Coast - 1957
GW, RGB Guinea-Bissau 1974 P Portuguese Guinea - 1974. República da Guiné-Bissau
GQ* Guinea ya Ikweta E Guinea ya Kihispania - 1968
GR Ugiriki 1913
GUY Guyana 1972 BRG zamani British Guiana - 1966
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
H Hungary 1910
HK Hong Kong 1932
HN Honduras
HR Kroatia 1992 SHS 1919-29, Y 1929-53, YU 1953-92 Hrvatska (Croat.)
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
I Italia 1910
IL Israel 1952
IND India 1947
IR Iran (Uajemi) 1936
IRL Eire 1962 EIR-1938, SE-1924, GB-1910
IRQ Iraq 1930
IS Iceland 1936 Ísland (Iceland.)
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
J Japan 1964
JA Jamaika 1932
HKJ Jordan

JOR

Hashemite Kingdom of Jordan
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
K Kambodia 1956 F - 1949 Kampuchea 1976-89
KAN* Saint Kitts na Nevis
KN Greenland GRO Kalaallit Nunaat
KS Kyrgyzstan 1992 SU-1991 zamani Kirgizia S.S.R. - 1991
KIR Kiribati zamani the Gilbert, Line & Phoenix Islands - 1975. Part of the Gilbert & Ellice Islands Colony.
KP Korea ya Kaskazini Korea, Democratic People’s Republic
KSA Saudia Kingdom of Saudi-Arabia
KWT Kuwait 1954
KZ Kazakhstan 1992 SU - 1991
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
L Luxemburg 1911
LAO Laos 1959 F - 1949 zamani sehemu ya French Indo-China - 1949
LAR* Libya 1972 I - 1949, LT Libyan Arab Republic
LB* Liberia 1967
LS Lesotho 1967 BL Basutoland - 1966
LT Lithuania 1992 SU
LV Latvia 1992 SU
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
M Malta 1966 GBY 1924-66
MA Morocco 1924 Maroc, El Maghreb
MAL Malaysia 1967 FM - 1957, PTM 1957-67 zamani Federated Malay States, then Perseketuan Tanah Malayu
MAN Isle of Man 1910
MC Monaco 1910
MD Moldova 1992 SU - 1991
MNE Montenegro 2006 MN - 1913-1919, SHS 1919-29, Y 1929-53, YU 1953-2003, SCG 2003-2006
MEX Mexico 1952
MGL Mongolia
MH Visiwa vya Marshall
MK Masedonia 1992 YU - 1992
MOC Mozambique 1975 MOC: 1932-56, P: 1957-75 Moçambique
MS Mauritius 1938
MV* Maldives
MW Malawi 1965 EA 1932-38, NP - 1938-70, RNY option 1960-65 zamani Nyasaland Protectorate
MYA Myanmar 1989 BUR-89
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
N Norway 1922
NA Antili za Kiholanzi 1957 Nederlandse Antillen
NAM Namibia 1990 SWA South-West Africa
NAU Nauru 1968
NC New Caledonia
NEP* Nepal 1970
NIC Nicaragua 1952
NL Uholanzi 1910 Nederland
NZ New Zealand 1958
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
OM Oman
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
P Ureno 1910 Portugal
PA Panama 1952
PAK Pakistan 1947
PAL Palau zamani sehemu ya U.S. Trust Territory of the Pacific Islands - 1980
PE Peru 1937
PL Poland 1921
PMR* Transnistria 1990 SU-1991, MD 1991 PMR ni kifupi cha Приднестровская Молдавская Република (Pridnestrovskaya Moldavskaya Republika) ambayo ni jina kamili ya Transnistria
PNG* Papua-Guinea Mpya 1978 Papua-New Guinea
PS Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina
PY Paraguay 1952
PR Puerto Rico
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
Q Qatar 1972
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
RA Argentina 1927 República Argentina (Span.)
RC Jamhuri ya China (Taiwan) 1932 Republic of China (Taiwan)
RCA Central African Republic 1962 République Centrafricaine (French)
RCB Jamhuri ya Kongo 1962 République du Congo Brazzaville (Fr.)
RCH Chile 1930 República de Chile (Span.)
RG Guinea 1972 République de Guinée (Fr.)
RH Haiti 1952 République d'Haïti (Fr.)
RI Indonesia 1955 Republik Indonesia (Indones.)
RIM Mauritania 1964 République islamique de Mauritanie (Fr.)
RL Lebanon 1952 République Libanaise (Fr.)
RM Madagascar 1962 République de Madagascar(Fr.)Zamani Malagasy Republic 1970-79
RMM Mali 1962 AOF-60 République du Mali (Fr.) Zamani French Sudan - 1960
RN Niger 1977 AOF - 1960 République du Niger (Fr.) Zamani sehemu ya Afrika ya Magharibi ya Kifaransa (Afrique Occidentale Française - 1960)
RO Romania 1981 R
ROK Korea ya Kusini 1971 Republic of Korea
ROU Uruguay 1979 República Oriental del Uruguay (Span.)
RP Philippines 1975 Republic of the Philippines
RSM San Marino 1932 Repubblica di San Marino (It.)
RT Togo 1960 TT, TG Republique Togolaise (Kifaransa) zamani Togo ya Kifaransa - 1960
RUS Urusi 1992 SU-91
RWA Rwanda 1964 RU-62 zamani sehemu ya Ruanda-Urundi - 1962
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
S Uswidi 1911
SA Saudi Arabia 1973
SRB Serbia 2006 SB - 1919, SHS 1919-29, Y 1929-53, YU 1953-2003, SCG 2003-2006
SD Eswatini 1935
SGP Singapore 1952
SK Slovakia 1993 CS
SLE* Sierra Leone 2002 rasmi WAL; SLE hutumiwa nchini tu
SLO Slovenia 1992 SHS 1919-29, Y 1929-53, YU 1953-92
SME Suriname 1936
SMOM Shirika la kijeshi la kujitawala la Malta Sovereign Military Order of Malta
SN Senegal 1962
SO Somalia 1974
SOL Visiwa vya Solomon
STP São Tomé na Príncipe 1975 P
SUD* Sudan 1963
SY Shelisheli 1938 Seychelles
SYR Syria 1952
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
T Uthai 1955 Thailand
TCH* Chad 1973 Tchad (French.)
TG* Togo 1973 taz. RT
TJ Tajikistan 1992 SU
TL Timor ya Mashariki P, RI Timor-Leste (Kireno)
TM Turkmenistan 1992 SU - 1991
TN Tunisia 1957 F - 1956
TO Tonga
TR Uturuki 1935 Türkiye
TS Mji Huru wa Trieste 1947 Until 1954
TT Trinidad na Tobago 1964
TUV Tuvalu zamani Ellice Islands-75 (Gilbert & Ellice)
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
UA Ukraine 1992 SU
UAE Falme za Kiarabu
USA Maungano ya Madola ya Amerika 1952 United States of America
UZ Uzbekistan 1992 SU
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
V Vatikani 1931 Vanuatu
VN Vietnam 1953
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
WAG Gambia 1932 West Africa Gambia
WAL Sierra Leone 1937 West Africa Sierra Leone; nchini kawaida ni SLE
WAN Nigeria 1937 West Africa Nigeria
WD Dominica 1954 Windward Islands Dominica
WG Grenada 1932 Windward Islands Grenada
WL Saint Lucia 1932 Windward Islands Saint Lucia
WS Samoa 1962 zamani Western Samoa
WSA* Sahara ya Magharibi 1932 SE - 1976 zamani Sahara ya Kihispania (Sahara Español); sehemu kubwa imekaliwa na Moroko (MA), some territory administered by the Sahrawi Arab Democratic Republic
WV Saint Vincent na Grenadini 1932 Windward Islands Saint Vincent
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
YEM Yemen zamani YAR (Yemen Arab Republic)
YV Venezuela
Alama Nchi tangu zamani walitumia Maelezo
Z Zambia 1966
ZA Afrika Kusini 1936 Zuid Afrika (Kiafrikaans)
ZW Zimbabwe 1977
Tahadhari
* si rasmi

Alam za zamani

hariri
Alama Nchi hadi baadaye walitumia Maelezo
ADN Aden 1967 Y
BP Bechuanaland, sasa Botswana 1966 RB
BUR Burma 1989 MYA
CS Chekoslovakia 1992 CZ / SK
DA Mji Huru wa Danzig 1939 1939-1945:D, since 1945: PL
DDR Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani 1989 D Deutsche Demokratische Republik
EW Estonia 1993 EST Eesti Vabariik (Estn.)
FR Visiwa vya Faroe 1996 FO
GRO Greenland KN
HV Volta ya Juu, sasa Burkina Faso 1984 BF
LR Latvia 1927-1940 SU, LV Latvijas Republika (Latv.)
R Romania 1981 RO
RSR Rhodesia ya Kusini 1960-1979 ZW Sasa Zimbabwe
RNR Rhodesia ya Kaskazini Z Sasa Zambia
RNY Shirikisho la Rhodesia na Unyasa MW Sasa Malawi
SA Saarland 1956 D also D between 1935 and 1945
SB Serbia 1919 SHS Serbia ikawa sehemu ya Ufalme wa Waserbia, Wakroatia na Waslovenia
SCG Serbia na Montenegro 2006 MNE, SRB Sasa Montenegro, Serbia
SF Finland 1993 FIN SF from "Suomi – Finland" (the names of the country in both of its official languages, Finnish and Swedish)
SHS Ufalme wa Waserbia, Wakroatia na Waslovenia 1929 Y Kingdom changed its name to Yugoslavia
SU Umoja wa Kisovyeti 1991 EST, LT, LV, BY, MD, UA, TJ, TUR, GE, KZ, UZ, KS, AZ, ARM, RUS
SWA South West Africa 1990 NAM Namibia
Y Yugoslavia 1953 YU Yemen ilianza kutumia "Y" baadaye
YU Yugoslavia 2003 BIH, HR, MK, MNE, SRB, SLO Sasa ni nchi za pekee za Bosnia-Herzegovina, Kroatia, Masedonia, Montenegro, Serbia na Slovenia
ZRE Zaire 1997 CB sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Marejeo

hariri